Saturday, August 11, 2012
Jamii ya Wilaya mpya ya Uvinza kaeni mkao wa kula!
Mambo mazuri yako jikoni yanakuja kwa manufaa ya kila mmoja Kimalampamba! Wana Uvinza jiandaeni kuona ujio mpya wa mipangilio mizima ya maendeleo na kufufua Uvinza yetu...!
Tuko pamoja! Mazuri kwa Uvinza yetu yanawezekana! Hongera sana kwa juhudi